MAWE MATATU MAARUFU JIJINI MWANZA.
Jiji la Mwanza ni moja ya majiji yanayokuwa kwa kasi Afrika mashariki.Jiji hili lipo kaskazini mwa Tanzania, ikiwa sehemu kubwa limezungukwa na ziwa Victoria,.
Jiji la Mwanza limezungukwa na milima yenye mawe makubwa na madogo, hali iliyopelea jiji hili kuwa maarufu na mvuto Wa kipekee kwa wageni pindi watembeleapo Mwanza, ndani hata nje ya nchi pia.
Ukifika Mwanza utaona mawe makubwa tofauti tofauti, kila mahali na jinsi yalivyo kaa hakika yanavutia..Leo tutajadiri Mawe matatu maarufu Jijini Mwanza.. Ambayo watu wengi hupenda kuyatembelea, kuyashangaa jinsi yalivyo na kupiga picha na kadharika..
Kati ya Mawe matatu maarufu ni kama yafuatayo.
1,BISMARCK ROCKS. haya ni mawe maarufu saana jiji Mwanza, yanayovutia wengi pindi wafikapo Jijini Mwanza, Mawe haya hutumika kama nembo ya jiji la Mwanza, au kitambulisho cha jiji la Mwanza, Mawe haya yapo eneo la kamanga, jinsi yalivyobebana huvutia watu wengi,Mawe haya yapo ndani ya maji yaani ziwani(ziwa Victoria).

2;JIWE KUU(BIG ROCK). Jiwe kuu ni jiwe maarufu saana linalopatikana katika jiji la Mwanza, Jiwe hili lipo kitangiri, na ni maarufu kutokana na ukubwa wake, jiwe hili inasemekana linaukubwa wa km mbili, na lina mawe madogo madogo juu zaidi ya elfu nne,
Vile vile jiwe hili ni maarufu kutokana na kuwepo kwa arama na michoro ya kale inayosemekana ni ya MWANAMARUNDI, harama hii ni ni makalio, Nyayo za miguu, pamoja na mchoro wa (pango) aina ya mchezo.

3,JIWE MAHABA, hili ni jiwe lililopo Nyegezi, jiwe hili hujulikana kama jiwe mahaba kutokana na jinsi maandhari yake yanavyovutia hasa nyakati za jioni, pale jua linapoza, Au asubuhi jua linapo chomoza, huitwa jiwe mahaba kwa kuwa watu wengi ambao ni wapenzi hupenda kwenda kupumzika pale, nyakati za jioni au asubuhi ..wakiwa wengi ni wanachuo..

posted from Bloggeroid
Maoni
Chapisha Maoni