Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

MAWE MATATU MAARUFU JIJINI MWANZA.

Picha
Jiji la Mwanza ni moja ya majiji yanayokuwa kwa kasi Afrika mashariki.Jiji hili lipo kaskazini mwa Tanzania, ikiwa sehemu kubwa limezungukwa na ziwa Victoria,. Jiji la Mwanza limezungukwa na milima yenye mawe makubwa na madogo, hali iliyopelea jiji hili kuwa maarufu na mvuto Wa kipekee kwa wageni pindi watembeleapo Mwanza, ndani hata nje ya nchi pia. Ukifika Mwanza utaona mawe makubwa tofauti tofauti, kila mahali na jinsi yalivyo kaa hakika yanavutia..Leo tutajadiri Mawe matatu maarufu Jijini Mwanza.. Ambayo watu wengi hupenda kuyatembelea, kuyashangaa jinsi yalivyo na kupiga picha na kadharika.. Kati ya Mawe matatu maarufu ni kama yafuatayo. 1,BISMARCK ROCKS. haya ni mawe maarufu saana jiji Mwanza, yanayovutia wengi pindi wafikapo Jijini Mwanza, Mawe haya hutumika kama nembo ya jiji la Mwanza, au kitambulisho cha jiji la Mwanza, Mawe haya yapo eneo la kamanga, jinsi yalivyobebana huvutia watu wengi,Mawe haya yapo ndani ya maji yaani ziwani(ziwa Victoria). 2;JIWE KUU(BIG ROC...

UTALII WA NDANI

http://habariclouds.com/2017/04/utalii-wa-ndani-wajadiliwa-na-wadau-jijini-mwanza/#top